RADIO  KILI FM -87.5 MHz  

              "Home of Information and Entertainment"

ENZI ZAO

masaa matatu haya yanawaleta pamoja vijana wa zamani kuweza kusikiliza record za zamani zilizo kuwa zikifanya vizuri kutoka kwa wasanii na bendi za africa mshariki kila jumamosi saa 10:00-12:00pm