RADIO  KILI FM -87.5 MHz  

              "Home of Information and Entertainment"

KILI BREAKFAST SHOW

  Sikiliza kili breakfast show kutoka hapa kili fm radio kila siku jumatatu mpaka ijumaa mida ya saa moja asubuhi mpaka saa nne asubuhi. kutana na wachambuzi wenye sauti ya zege.


-07:00-07:30am (morning tips na utabiri wa hali ya hewa)

-07:30-08:00am (habari kuu za kimataifa na chambuzi mbalimbali za kimataifa)


-08:00-08:30am (habari za kitaifa)


-08:30-09:00am (uchambuzi wa magazeti ya Tanzania)


-09:00-09:30am (habari kamili za kitaifa, kimataifa,biashara na michezo)


-09:30-10:00am (habari za Africa ya mashariki)


HOST:1-Msigwa Stanley

           2-Mwanahamisi jingu

          3-james Chilongwe.