RADIO  KILI FM -87.5 MHz  

              "Home of Information and Entertainment"

KILI DRIVE

Drive na Kili fm katika kipindi cha Kili Drive saa 04:00 hadi sasa 06:00 jioni upate kujua yalio jiri siku nzima pale unapokosa kusikiliza redio yako wakati uko kazini au kwenye shughuli mbalimbali, pia kujua matukio na kupumzisha akili yako kutokana na uchovu wa siku nzima. .