RADIO  KILI FM -87.5 MHz  

              "Home of Information and Entertainment"

MISHEMISHE ZA KWETU

Pata kusikiliza mishemishe za kwetu  kila siku jumatatu mpaka ijumaa saa nne asubuhi mpaka saa saba mchana.
kwa kujua hshow inahusu maisha ya kila siku ya watanzania na kujadiliwa kwa kuwashirikisha wasikilizaji kuchangia kwenye facebook page,twitter,instagram na number ya studio.
show inaongozwa na :
1:Anold mosha
2:mwajuma twahiru