RADIO  KILI FM -87.5 MHz  

              "Home of Information and Entertainment"

KILI BREAKFAST SHOW

kili breakfast show inakujia hapa kili fm radio kila siku jumatatu mpaka ijumaa saa moja asubuhi mpaka saa nne asubuhi.

-07:00-07:30am (morning tips na utabiri wa hali ya hewa)

-07:30-08:00am (habari kuu za kimataifa na chambuzi mbalimbali za kimataifa)

-08:00-08:30am (habari za kitaifa)

-08:30-09:00am (uchambuzi wa magazeti ya Tanzania)

-09:00-09:30am (habari za kitaifa na kimataifa,biashara na michezo)

-09:30-10:50am (habari za Africa ya mashariki)


HOST:1-Esther machangu

           2-Mwanahamisi jingu