RADIO  KILI FM -87.5 MHz  

              "Home of Information and Entertainment"

RED PAGES

Nimasaa matatu yatakayo fungua hisia zako lakini pia kukufanya ufurahie maisha ya mahusiano na wakati mwengine utapata nafasi ya kuomba msamaha kwa uliye mkosea ila una muda wa kujua marafiki na kupata marafiki na kujua mikasa tufauti ya mahusiano kila siku jumatatu mpaka alhamisi saa 10:00-01:00am