RADIO  KILI FM -87.5 MHz  

              "Home of Information and Entertainment"

WATOTO CLUB

ni wakati wa watoto kufurahi lakini kujifunza mengi lakini pia kujibu maswali na kusimuliana hadithi na kuteguwa vitendawili na methali kila jumamosi saa 09:00-10:00 asubuhi